Kama wewe ni msanii wa muziki unayetafuta njia rahisi na ya haraka kufikisha kazi zako kwa mashabiki waliopo ndani na nje ya nchi, basi habari hii ni muhimu sana kwako. Katika ulimwengu wa kidigitali, uwezo wa kufanikisha kazi zako hauhitaji tena kuwa na mkataba na lebo kubwa ya muziki. Sasa unaweza kusambaza nyimbo zako mwenyewe kwenye majukwaa makubwa kama Spotify, Apple Music, TikTok, YouTube Music, Deezer na mengine mengi kupitia jukwaa moja tu – DistroKid.
DistroKid ni Nini na Inafanyaje Kazi?
DistroKid ni kampuni ya kidigitali inayowasaidia wasanii kusambaza nyimbo zao kwenye majukwaa ya muziki duniani kwa njia rahisi. Ukijiunga, unalipa kiasi kidogo cha pesa kwa mwaka mzima, kisha unaweza kupakia nyimbo zako nyingi kadri utakavyotaka.
Ndani ya saa chache baada ya kupakia, muziki wako utaonekana kwenye majukwaa ya kimataifa. Hii inamaanisha mashabiki kutoka Marekani, Ulaya, Asia, na hata Afrika wanaweza kusikiliza kazi zako mara moja.
Faida za Kutumia DistroKid kwa Wasanii Huru (Independent Artists):
1. Lipa Mara Moja kwa Mwaka – Pakia Nyimbo Bila Kikomo
Hauhitaji kulipa kwa kila wimbo. Unalipa ada ya mwaka mmoja tu (~$22) na unaweza kupakia nyimbo nyingi utakavyo. Hii ni nafuu sana ukilinganisha na huduma nyingine.
2. Unapata Asilimia 100 ya Mapato Yako
Tofauti na makampuni mengine ambayo yanakata asilimia kubwa ya mapato yako, DistroKid haikati chochote – kila senti unayopata kutokana na streams au mauzo, ni yako.
3. Muziki Wako Unasambazwa Haraka
Mara tu unapopakia muziki wako, ndani ya siku 1–3, tayari unakuwa hewani kwenye majukwaa kama Spotify, Apple Music, na mengine. Hakuna kuchelewa!
4. Muziki Wako Unatumika TikTok, Instagram na YouTube Shorts
Mashabiki wanaweza kutumia vipande vya muziki wako kuunda video kwenye mitandao maarufu. Hii huongeza utangazaji wa kazi zako bure kabisa!
5. Inajumuisha Huduma Kama Shazam na iTunes Match
Mashabiki wanaweza kutambua muziki wako kupitia Shazam, na hiyo inakuongezea nafasi ya kusikika zaidi.
6. Unaweza Kupata ‘Split Payments’ kwa Washiriki wa Nyimbo
Kama umefanya wimbo na msanii mwingine au producer, DistroKid inaruhusu kugawanya mapato kiurahisi.
Kwa Nani Hii Inafaa?
-
Msanii anayejitegemea (independent artist)
-
Watayarishaji wa nyimbo (producers)
-
Studio ndogo ndogo za muziki
-
Watunzi wa nyimbo za dini, nasheed, au spoken word
-
DJs wanaotaka ku-distribute mixtapes zao
-
Watoto wa mitaani wenye ndoto za kimuziki
Haijalishi uko wapi, hata kama uko Tanzania, Kenya, au Uganda, unaweza kutumia DistroKid kupeleka kazi zako mbali zaidi!
Ofa Maalum kwa Wanaosoma Blog Hii
Nimekuletea ofa ya kipekee ambayo itakupunguzia gharama ya kujiunga na DistroKid kwa mara ya kwanza. Kupitia referral link hii hapa chini, utapata punguzo la 7% mara tu unapojisajili.
👉 https://distrokid.com/vip/seven/9533426
Hii ni nafasi ya pekee ya kuanza safari yako ya muziki kwa bei nafuu na kwa njia iliyo rahisi zaidi.
Wakati umefika wa wewe kama msanii kuacha kutegemea WhatsApp na Flash Disk kusambaza nyimbo zako. Dunia ya muziki imehamia kwenye majukwaa ya kidigitali, na DistroKid inakupa jukwaa hilo kwa mkono mmoja tu.
Usisubiri studio au label ikukumbuke. Jiweke mwenyewe kwenye ramani ya dunia kwa kutumia DistroKid. Hakuna mtu mwingine atakayeamini ndoto zako kama wewe mwenyewe!
Comments
Post a Comment